top of page

makala ya kipengele

Matumizi ya Mtume Petro ya neno "urejesho," katika unabii wake wa matukio yaliyotarajiwa kufuata kurudi kwa Kristo mara ya pili, yanaashiria kwamba kutakuwa na kipindi cha ujenzi upya. (Matendo 3:19-21) Mpango huu hauitaji uumbaji wa paradiso mpya, bali urejesho wa paradiso iliyopotea. Yesu anatufundisha katika Luka 19:10 kwamba Mwana wa Mtu alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea. Utekelezaji wa mradi huu wa kimungu unahitaji kuja kwa Yesu mara ya kwanza na mara ya pili. Katika kuja kwake mara ya kwanza, alijitoa kama fidia, au bei inayolingana, ili hukumu ya kifo iliyotolewa kwa wanadamu katika Edeni iweze kuondolewa. Anakuja mara ya pili kwa kusudi la kuwarejesha hai wale waliokosa uzima kupitia kosa la Adamu.

Vijitabu

Amani Kupitia Ufalme wa Kristo

Kitabu ch Aufunuo

Maandiko Matakatifu Yanafundisha Nini Kuhusu Vita

Matumaini Zaidi ya Kaburi

Mustakabali wa Israeli na Dunia

Sayansi na Uumbaji

Tumaini

Yesu Mkombozi wa Ulimwengu

Har–Magedoni, Kisha Amani ya Ulimwengu

Kumbukumbu ya Bwana Wetu

Mafundisho ya Utatu

Mpango wa Mungu

Mwanga wa Dunia

Siku ya Hukumu

Ufalme wa Mungu Umekaribia

Jinsi Mungu Anavyojibu Maombi

Kwa Nini Mungu Anaruhusu Uova?

Maisha Baada ya Kifo

Mradi wa Urejeshaji wa Mungu

Sayansi na Uumbaji

Tiba ya Mungu kwa Dunia Iliyopagawa

Yesu Mkombozi wa Ulimwengu

The Dawn

PO Box 521167, Longwood FL 32752
contact@dawnbible.com

bottom of page