top of page

makala ya kipengele

Takriban miaka 3,600 iliyopita, Israeli waliamriwa kuchukua damu ya mwana-kondoo wa Pasaka, na kuiweka kwenye kizingiti cha nyumba zao - kisha waingie ndani na kukaa humo usiku kucha. Maagizo yaliyotolewa kwa Waisraeli yalikuwa rahisi kueleweka na ilikuwa rahisi kwao kuyatii.
Hili lilitukia pia sisi, tulipomkubali Yesu kama mwokozi wetu binafsi na kwa ishara tukapaka damu kwenye nguzo za milango ya mioyo yetu. Hii ilikuwa mwanzo wa safari yetu.

Vijitabu

Har–Magedoni, Kisha Amani ya Ulimwengu

Kumbukumbu ya Bwana Wetu

Maisha Baada ya Kifo

Tiba ya Mungu kwa Dunia Iliyopagawa

Yesu Mkombozi wa Ulimwengu

Jinsi Mungu Anavyojibu Maombi

Kwa Nini Mungu Anaruhusu Uova?

Mustakabali wa Israeli na Dunia

Tumaini

Kitabu ch Aufunuo

Mafundisho ya Utatu

Siku ya Hukumu

Yesu Mkombozi wa Ulimwengu

The Dawn

PO Box 521167, Longwood FL 32752
contact@dawnbible.com

bottom of page